
Alama ya barabarani inayoonyesha vyombo vya usafiri vipite upande wa kulia wakati ujenzi ukiendelea.
Mashine inayotumika kushindilia udongo wakati wa kutengeneza barabara.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara ya mtaa wa Lion Sinza jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...