Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Watalaamu Mabingwa wa Magonjwa ya Kichwa, Uti wa Mgongo na Matibabu ya Maumivu kutoka nchi za Afrika Mashariki Dk.Mahmoud Qureshi pia Makamu wa Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Mafunzo Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na ujumbe aliofuatana nao jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Ujumbe wa Watalaamu Mabingwa wa Magonjwa ya Kichwa, Uti wa Mgongo na Matibabu ya Maumivu kutoka nchi za Afrika Mashariki ukiongozwa na Dk.Mahmoud Qureshi pia Makamu wa Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Mafunzo Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...