.jpg)
Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja akihojiwa kwa njia ya simu alikuwa akijibu maswali ambayo majibu yake yamesikika kama ni pumzi mpya ya uhai wa muziki wa dansi Tanzania na miziki mingine kama vile taarabu na muziki wa kizazi kipya,Kamanda Ras Makunja ametoa wito kwa wasanii wa Tanzania wasisite wala kuogopa kutoa kazi zao nje ya mipaka ya nchi kwani Tanzania inajulikana kuwa ina muziki mzuri na unao kubalika kimataifa "Wanamuziki Msiogope tuone kazi zenu nje mnatisha na kukubalika" alitoa wito
Mkuu huyo wa Ngoma Africa Band aka FFU kamanda Ras Makunja,ambaye pia
Alipoulizwa umri wa bendi ya Ngoma Africa kamanda Ras Makunja amesema bendi inatimiza miaka 22 na imekuwa sawa na muzimu wa muziki unao mtisha hata yeye mwenyewe unamtisha ! pia alichambua changamoto zinazoukabili muziki wa dansi nyumbani Tanzania,ni pamoja na baadhi ya vituo vya redio kutopiga mara kwa mara nyimbo za bendi za dansi,pia aliwaomba wanamuziki na bendi za muziki wa dansi kufupisha nyimbo zisiwe ndefu mno,na aliwaomba kuacha tabia ya kulalamikia kitu au hali fulani baadala yake kujitaidi kuutangaza
muziki wa dansi katika kila hali na kuvifuata vyombo vya habari sio kusubiri.
fuatilia mahojiano hayo katika Redio Zenj FM ya Zanzibar.
pia unaweza kuwasikiliza FFU at www.ngoma-africa.com
kamanda Ras makunja wa ffu-ughaibuni nyie ni virungu tu mbele kwa mbele
ReplyDeleteeh ! Kamanda mkuu ras makunja aka kolokolono No.1 mkuu wito wako umetutibu wenzio tulio bongo kazi yetu kila kukicha kulaumu tuuuu
ReplyDeleteMkuu kuu kamanda ras makunja wito wako ni somo kwa wote tena somo kubwa hapa bongo kuna tabia za wanamuziki kukatishwa tamaa nao kukubali kukata tamaa na kuanza kulalamikia jambo bila ya kuchukua hatua ya vitendo,lingine wanamuziki wengi wanapendwa kutafutwa sio wao kutafuta wadau wa muziki.somo hili ni kubwa te kubwa sana ubarikiwe kikamanda Ketu
ReplyDeletemkuu baba mtakatifu wa ffu kamanda Ras Makunja uliyeteuliwa kuongoza viumbe wa ajabu Ngoma Africa aka ffu aka watoto wa mbwa aka mazimwi Anunnaki,kamanda umeona mbali sana na kuyafukua matatizo yanaukabili muziki wa Tanzania kwa ujumla tunakubaliana nawe 1000% lazima mabadiliko yafanywe kwa pande zote,bendi ,wanamuziki na watu wa redio. kamanda nakupigia saluti
ReplyDeleteKamanda mkuu ras makunja aka kolokoloni No.1 ,mmliki wa himaya ya Anunnaki mkuu wito wako ni dawa umetutibu wenzio tulio bongo kazi yetu kila kukicha kulaumu tu ,bila ya kufanya vitendo
ReplyDelete