Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari ( hawaonekani pichani) milipuko hatari  aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa  tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya  msikiti wa  Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii inatisha sana ishughuikiee kwa mujibu wa sheria.

    ReplyDelete
  2. HALI HII SASA INATISHA,LAKINI YOTE HAYA YMECHANGIWA NA UONGOZI KUWASAHAU WAJUMBE WA NYUMBA KUMI.WAKATI ULE TEN CELL LEADERS PLAYED A VERY BIG ROLE KWA USALAMA WA NCHI HII IKIWAMO KUWATAMBUA WANANCHI WAKE.HATA POSHO HAWAKUFIKIRIWA.SASA JE HATA NYUMBA ZA IBADA TUWEKE ULINZI?KILA MUUMINI ASACHIWE?TUTAFIKA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...