Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo
la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza
wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa
kuhitimu masomo yao mwezi ujao.
Wanafunzi wa kidato
cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu
masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10
shuleni hapo.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo
la Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi cheti mwanafunzi
mmojawapo katika mahafali hayo
Baadhi ya wazazi waliohudhuria katika mahafali
hayo ya kumi ya kidato cha Sita shuleni hapo
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mwanafunzi bora wa Shule ya Sekondari Magufuli
Emanuel Sina Cheti cha Usafi na Utunzaji wa Mazingira kwenye mahafali ya nne ya
shule hiyo.
Waziri
wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wanafunzi
pamoja na wazazi kwenye mahafali hayo ya nne katika Shule ya Sekondari Magufuli. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...