Waziri wa Fedha
Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrikca
Group 1 constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango
Dr. Philip Mpango.Kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya
fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na kufuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.Pamoja na ujumbe kutoka
Tanzania.
Waziri wa Fedha
Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe kutoka
Tanzania walipokutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC)
Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa
Serikali Dr. Servacius Likwelile na Bw. Ngosha Saidi Magonya,
Kamishna wa Fedha za nje.Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani – Washington
Mhe.Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw.
Khamis Mussa na Bw. Laston Msongole ambaye ni Mtendaji Mkuu wa
mfuko wa milenia wa awamu ya pili.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo
na msimamo wa uongozi
wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) hawapokwenye picha.Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani –
Washington DC. Mhe.Liberata Mulamula.
Makamu wa Rais wa shughuli za operesheni
za mfuko wa Changamoto za Milenia, Bw. Kamran Khan wa katikati akitoa
maelezo na msimamo wa mfuko wa Changamoto za milenia. Wengine ni viongozi wa
mfuko wa changamoto za Milenia wakiongea na ujumbe wa Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...