Kiungo wa Yanga, Salum Telela, akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 8-0. (Picha na Francis Dande).
Simon Msuva akishangilia bao aliloifungia timu yake.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia.
Haruna Niyonzima akiruka kihunzi cha, Hamoud Abdulhalim.
Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Coastal Union.
Mwamuzi wa mchezo kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga, Simon Mbelwa, akimpa ‘tano’ mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, baada ya kuifungia timu yake ‘hat trick’ na kukabidhiwa mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. (Picha na Francis Dande). 
Amis Tambwe akipongezwa na kocha wake.
Amis Tambwe akipongezwa na mashabiki wa Yanga.
Amis Tambwe akichuana na mchezaji wa Coastal Union, Mohamed Ally.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...