Mhe balozi mpya wa Malawi Nector Mhura akipokelewa na Afisa ubalozi Bi. Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, jijini Washington DC.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na mgeni wake balozi wa Malawi Mhe. Nector Mhura.
Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani akiweka saini kwenye kitabu maalum cha wageni.
Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa utawala wa ubalozi wa Malawi Bi. Jane Nankwenya.
Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa utawala wa ubalozi wa Malawi bi, Jane Nankwenya, kulia ni balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula na Afisa wa ubalozi Bi. Swahiba Mndeme. Picha na Ubalozi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...