Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi hundi ya sh. milioni 20 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda zilizotolewa na benki hiyo baada ya meya huyo kupata tuzo ya Meya Bora Afrika iliyotolewa na Rais Jose Eduardo do Santos wa Angola. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Meya wa Kinondoni Yusuf Mwenda akitoa shukrani zake kwa uongozi wa Benki ya CRDB kwa kutambua juhudi wanazofanya katika utendaji kazi na masuala ya usafi na ukusanyaji wa mapato.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles kimei akizungumza katika hafla hiyo.
No disrespect but.....this mayor is always happy when it comes to moment like shown in the pic......if you wanna see him in jeopardize face ask it to rain in DSM........anakua mdogo.......
ReplyDeleteSekta binafsi zinaweza kutunisha mfuko wa halmashauri na kuziwezesha kuboresha kazi zake zaidi. Hongera CRDB kwa kuwekeza katika huduma zinazowagusa wananchi.
ReplyDelete