Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2015

    Utamaduni uliopitwa na wakati!

    Acheni kutesa wanyama...magari yapo siku hizi.

    ReplyDelete
  2. Nimependa jinsi wanavyoendelea kudumisha utamaduni wetu...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2015

    Wanatesa wanyama waspanish na ng`ombe wao. Waache wapemba wadimishe tamaduni. Ng`ombe wamenona vizuri wala hakuna ngebe.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2015

    Kutesa wanyama hakuna cha Mpemba au Mhispania au m-Puerto Rico (kupiganisha jogoo).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...