Tasnia ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufutia kifo cha Mwanahabari wa TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi Bungeni mjini Dodoma jana.
Chamlomo alifariki muda mfupi baada ya kuugua ghafla akiwa kazini.
Timu nzima ya Globu ya Jamii inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Wafanyakazi wote wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kumpoteza ndugu yetu.
Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi
- Amin.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...