Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.

Nyumba hii ya Ibada ama Msikiti  huu  Ndugu zetu wanafanya Ibada ya Swala 5 kwa siku , Msikiti huu upo Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Mlamleni Kitongoji cha Kimbangulile. Wenzetu wameanza kwa Nguvu zao kwa Ujenzi wa Msikiti huu. Na Jitihada nyengine ni kuwa na Matofali yasiyo pungua 300 kwa Ajili ya kuanza Ujenzi Mpya.



Mambo kutoka kwako ukiwa umeguswa na hili .
Tunaomba MCHANGO WAKO WA VIFAA VYA UJENZI.



Kwa Mwanzo Tunahitaji
1.Cement
2.Tofali
3.mchanga
4.Vifaa vya Kuchimbia Majembe, Panga , chepe N.k



Maazimio yetu tuanze Ujenzi pale tu tutakapo pata uwezo wa kulifanya hili.



Tunawakaribisha mtembelee eneo la tukio kwa wale ambao watakuwa Na Muda.



Michango yenu tunaomba muwasilishe kwa Namba ya Simu.

0715800772( Tigo Pesa ) GHALIB MONERO.


Kwa wale waliopo Nje ya Tanzania : WESTERN UNION : GHALIB NASSOR MONERO



Waliopo KENYA tafadhali wasiliana ALI BAJIY NASOR no' 0725113783.



More Update kuhusu Michango ya Msikiti huu Tafadhali tembelea : facebook : Kijana wa Kiislam Dsm or Whatssap Number : +255689604780



Au Piga Simu : +255715800772



WABILLAHI TAUFIQ WENU KATIKA UTUMISHI WA DINI KATIKA JAMII.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2015

    Je kuna shule maeno hayo? Kama hakuna basi tuchangie shule kwanza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...