Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk, Seif Rashid (watatu kushoto), akitetajambo na madaktari hao baada ya kufungua mkutano huo jijini Dar es Salaam leo unao endelea hadi Mei 15-2015 , (wa kwanza kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, wakwanza kushoto ni Daktari Bingwa wa Taasisi hiyo, Anthon Assey na anaye fatia ni Mkuu wa Idara ya upasuaji wa ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Dk.Hamisi Shabani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma akizungumza na wandishi wa habari (pichani hawapo), katika mkutano wa nne wa mafunzo ya upasuaji wa ubongo , uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Dar es Salaam leo. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid, unao endelea hadi Mei 15-2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...