UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. 

MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.

FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA KUSHIRIKIANA NASI KATIKA IBADA IYO PAMOJA NA NDUGU ,JAMAA NA MARAFIKI SAMBAMBA NA FAMILIA ZA WAFIWA.flavian31
FLAVIANA MATATA KUPITIA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI WAKATI WA KUMBUKUMBU HIZO.
IMG_5925 TEAM ZALENDO TANZANIA WALIKUWAJA RASMI NA T-SHIRT ZAO ZA HATUTASAHAU MAY 21IMG_5937 MUANZILISHI WA ZALENDO TANZANIA MIRAJI KIKWETE NAE ALIKUWEPO NA TEAM YAKE NZIMA IMG_5948 IDRISSA, MWANAFA , AY NAO WALIKUWEPO .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...