Home
Unlabelled
HAPA VIPI WADAU??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waliotumia pesa ya walipa kodi wakaweka hicho kibao inabidi watujuze kina maana gani?
ReplyDeleteWe unayeuliza swali inaonekana umetoka TZ miaka mingi sana! Wecome back!! Siku hizi hamna kufuata sheria na kanuni katika nchi hii! Tunavunja kila taratibu tulizojiwekea, sasa inabidi mambo yaendeshwe kwa migomo!! Ustaarabu wa matumizi ya barabara ndio umetushinda kabisa TZ!!
ReplyDeletewalipo park ni sahihi kwakuwa ni nyuma ya kibao chenye maelekezo. ingekuwa kosa wangepaki upande wa mbele wa kibao hahahahahahah
ReplyDeleteMbele ya jengo la Sayansi Kijitonyama Aka Maji Machachu.
ReplyDeletehapo kibao kinaonyesha tofauti lori na hayo ni matanker
ReplyDeleteHapo mbona ni poa tu, hakuna aliyevunja sheria hapo kama una elimu ya udereva!
ReplyDeleteWatu wanapenda kuisema vibaya tu nchi yetu kwa manufaa yao na roho mbaya zao.
Mr Mhoja, Sweden