UKITAKA SHEREHE AMA SHUGHULI YAKO IPENDEZE BASI FANYA KAZI NA MC WA
KISASA NA PIA HUDUMA ZA KISASA ZA USHEREHERESHAJI KWA UHAKIKA NA
UFANISI WA HALI YA JUU
MC KESSY NI MTU PEKEE AMBAE UKUMBINI ANASIMAMA YEYE NA PIA KWA UPANDE
WA CAMERA NA MAMBO KADHA WA KADHA.
ALIYOWEKA HAPO NI MOJA KWA MOJA
UNAYAKUTA OFISINI KWAKE NA KUPEWA HAATA USHAURI WA BURE KUHUSU
SHEREHE/TAMASHA AMA SHUGHULI YAKO KWA UTAALAMU WA KISASA NA WWA HALI
YA JUU KABISA.
KARIBU UFANYE KAZI NA WAFANYAKAZI NA SIO KUFANYA KAZI NA WINGI WA
WAFANYAKAZI BALI VYOMBO VYA KISASA NA UTAPENDA HUDUMA HIZI ZAIDI.
WASILIANA NA MC MOJA KWA MOJA KWA HUDUMA HIZI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...