Kuna Maonyesho ya Bidhaa kutoka Uturuki zikijumuisha bidhaa kutoka Tanzania, kwa muda wa siku tatu, 21/22 na 23/05/2014 katika ukumbi wa Diamond Jubilee VIP.
Waturuki hawa wametoa nafasi 10 kwa local exhibitors to participate free of charge on the basis of first come, first served.
Hivyo naomba muwasambazie taarifa hii wajasiliamali wenu individually ili kuichangamkia hii opportunity ya Waturuki.
If interested Tembelea hapa http://www. ingetrextanzania.com kuhusu maoyesho hayo.
Baada ya kumalizika nafasi za bure, kutakuwepo nafasi za kulipia kuanzia Milioni 1.500,000 kwa space ya 9 x3, Milioni 1,000,000 kwa 6 x3, na 500,000 kwa 3x3.
Added advantage ni kutakuwa na lots of free media publicity.
1.Utapata free publicity, kwa bango lako kuwekwa kwenye kitabu cha washiriki.
2.Utakutangaziwa bure, uwepo wako kwenye maonyesho hayo.
3. Kama una tangazo lako nitakurushia at reduced rates kwa TBC, ITV na Star TV ni TZS 100,000/= dakika moja, na 500,000 kwa 5 minutes. Kipindi kitarushwa Prime times for 7 days. Vipindi vitaanza 18/05/2014 na kumalizika tarehe 23/05/2014.
Wahi nafasi ni Chache...
Huu hapa chini ni mwaliko rasmi kutoka kwa organisers.
Feel free to contact 0784 270403, for more
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...