
WBTA Ni harakati zilizoanzishwa na vijana watatu Frank & Francis Ntevi na Eben Had, ambao wote ni wanafunzi wanaosoma chuo kikuu UDSM, kwa lengo la kuwanyanyua, kusapoti wasomi wote wenye moyo na Sanaa.
Kwa sasa wameanzia ndani ya UDSM, ikiwemo wameanza kusaidia kutoa sapoti kwa UDSM X BAND kwa kuwatengenezea albamu art kwa kushirikiana na mwanafunzi mwingine Papushka ambaye naye yupo kwenye harakati hizo kwa kufaanya video.
Katika haarakati hizo, muunganiko wa wasanii wa chuo kikuu UDSM ALL STARS, wameachia wimbo unaitwa ‘Tanzania mpya’ uliotoka hivi karibuni na pia wapo katika hatua za kutoa video ya wimbo huo.
..Bado haijaanza kupigwa kwenye vituo vya radio kwa sababu wanasubiria video yake kwaza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...