![]() |
| Mratibu wa marafiki wa Lowassa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
![]() |
| Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza. |
![]() |
| Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro. |
![]() |
| Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowassa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu. Picha zaidi BOFYA HAPA |


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...