![]() |
Safari ya siku tano kwa vijana hao ikahitimishwa katika kilele cha Uhuru Peak wakiongozwa na mratibu wa marafiki wa Lowassa Kanda ya Kaskazini Noel Nnko (mwenye koti jekundu) |
![]() |
Safari ya kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati mwingine baadhi yao walilazimika kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata matatizo. Picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...