Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 18, 20154, Victor Mwambalaswa wa Lupa, Sylvester Mabumba wa Dole na Dkt. Hamisi Kigwangalla wa Nzega.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 18, 2015.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge
Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Simanjiro
Mhe.Christopher Ole-Sendeka nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya
kupitishwa kwa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei, 16 2015. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)


.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...