Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Mhe. Christawaja Mtinda (kushoto) na Mhe. Christina Lissu Mughwai a(katikati) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka kwenye viwanaj vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akijadili jambo na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi kwenye viwanja vya Bunge
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...