Ankal akiwa nje ya ukumbi ambao Bw. David Letterman, mtangazaji maarufu wa CBS ambaye leo anastaafu kazi baada ya miaka 33 jijini New York, Marekani. Huyu bwana ameshahojiana na watu maarufu karibu wote duniani na kipindi chake cha David Letterman Show hakijapata mfanowe hadi sasa kiasi hata viongozi wa CBS wanajiuliza wafanyeje kumpata mtu kama yeye!
Home
Unlabelled
Kwaheri David Letterman baada ya miaka 33 ya utangazji wa kutukuka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankal sio kweli Jay Leno alikuwa anamtoa nishani David Letterman kwenye ratings. Ila kila la heri David Letterman kwenye ustaafu.
ReplyDelete