
Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza
maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa
sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa
yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika
nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya
kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini
Musoma kwenye viwanja vya Mkendo, mkoani Mara.
baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini
wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo.

Baadhi
ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma njiani kuelekea
kwenye viwanja vya Mkendo wakati maandamano ya maadhimisho ya Siku ya
Wakunga duniani burudani ya matarumbeta yaliyokuwa yakishereheshe
maandamano hayo.
Mie mndengereko natafuta mwanamke wa kikurya toka musoma.....nisaidie jamani.
ReplyDelete