![]() |
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mafuriko yaliyong'oa miti na kuharibu kingo za daraja la Kikuletwa wilayani Hai. |
![]() |
Mti mkubwa ulizolewa na maji na kisha kugota katika daraja la Kikuletwa. |
![]() |
Baadhi ya wakazi wa Kitongoji cha Kikuletwa wakivuka katika daraja hilo. |
![]() |
Baadhi ya vijana wakiangalia namna ambayo
wataweza kuondoa miti hiyo. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...