Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu (kushoto) akitiliana
saini ya makubaliano ya Mradi wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo ya Bamani na
Mwenyekiti wa Tanzania Youth Icon, Ndg Abdullah Miraji Othman, mradi huo
utaharimu shilingi za kitanzania milioni mia tatu, utilianaji wa saini hiyo
umefanyika katika Ofisi za ZAWA Mabuluu
MKURUGENZI
wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akibadilishana Mikataba ya makubaliano ya Mradi wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo ya
Bomani Unguja na Mwenyekiti wa Tanzania Youth Icon, Ndg. Abdullah Miraji Othman (kulia) Mradi huo utagharimu shilingi za kitanzania milioni 300. Utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Ofisi za ZAWA Mabuluu.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe. Eng.Hamad Yussuf
Masauni akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kutiliana saini ya Makubaliano ya Mradi
wa Uchimbaji wa Kisima, mradi unaosimamiwa na Tanzania Youth Icon.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
eeeeeeeh Ankal angalia vizuri hapo juuuuu, umeandika "MAKABIDHIANO YA PUMPU"
ReplyDeleteMdau kutoka mbeya!!
ndugu mdau ankal yuko sawa hakukosea wewe ndio umekosea kwa kuandika "makabidhiano ya pumbu" soma vizuri ndugu ha ha ha
ReplyDeletemdau,
shuleni