
Kesho Ijumaa Malaika
Band ambao hupiga hapo Mango kila Ijumaa, watakuwa Arusha mjini. Twanga Pepeta ambao hupiga Mango Garden kila Jumamosi, Jumamosi
hii watakuwa Wenge Garden Ukonga.
Bendi ya FM Academia ambayo huibuka Mango Garden na kufukia
viraka vya bendi zilizopata dharura ya kuhama ukumbi, Ijumaa hii itakuwa Polisi
Kilwa Road wakati Jumamosi itakuwa Leaders Club katika tamasha la nyama choma.
Yamoto Band watakwea jukwaa la Mango Garden Kinondoni leo
usiku (Alhamisi, 28) kuonyeshana kazi na wenyeji wao Mashauzi Classic chini
yake Isha Mashauzi.
Ni onyesho ambalo limeteka hisia za mashabiki wa muziki
kutokana na ukweli kuwa vikundi hivyo viwili havijawahi kukutana katika katika
onyesho la pamoja, ukiondoa yale matamasha yanayoshirikisha wasanii wengi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...