Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli
Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti
wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam tarehe 9 na 10 Mei 2015
Ratiba
ya shughuli kuanzia asubuhi ya Jumamosi 9 Mei 2015 kisomo cha kinamama
(wanawake) mchana kutakuwa na madrasa na kisomo cha wanafunzi jioni hadi
siku ya 10 Mai 2015 Kisomo cha haulia na Maulidi mnakaribishwa wote na madrsa
wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni simu na. 0767617961 au 0712840960 pia 0777000036 karibu sana. Ungana nasi at https://www.facebook.com/ profile.php?id=100006405199429
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...