![]() |
Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko. |
![]() |
Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli. |
![]() |
Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole kwa waathirika wa mafuriko uliofanyika katika kijiji cha Kawaya |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Hai Mhe. Freeman Mbowe akiwa ameshika kofia mbili, ya CCM na ya CHADEMA ambazo alizitumia kuchangisha fedha katika mkutano huo kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko katika ukanda wa tambarare wilayani Hai. Picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...