Naibu
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwapungia mkono baadhi ya wafuasi
wake waliojitokeza kwa wingi,kumsikiliza wakati akitamka kutangania nia
ya kugombea kiti cha uraui kupitia CCM
Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakimsikiliza kwa makini Dar
es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa akitangaza
nia yake ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama cha CCM
Naibu
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya umati wa wakazi
wa mji wa Dodom mapema jioni ya leo katika moja ya ukumbi wa chuo cha
Mipango
Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakimsikiliza kwa makini Dar
es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa akitangaza
nia yake ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama cha CCM
Tanzania tunahitaji viongozi watakaogombea katika ngazi zote wawe waadilifu, wenye uelewa, watakaoweka wananchi kuwa kipaumbele katika kumuinua maisha yao. Viongozi watakaotufaa ni wale watakaofanya kazi na watu wenye uelewa mkubwa katika fani mbali mbali kuiendeleza nchi yetu.
ReplyDelete