Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90. Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yake
UNGANA NASI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2015

    Hongera Kwa kutimiza Miaka 90 Muheshimiwa umebarikiwa na miaka hii Mungu akuongezee miaka zaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2015

    Mungu amzidishie maisha marefu. Anaonekana kijana kabisa. Anaonekana kama ana miaka 70 sio 90 jamani!!!

    Safi sana mzee. Mungu akubariki.

    Mdau UK

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2015

    hongera sana mzee wetu Mwinyi kwa kutimiza umri huu mkubwa ukiwa na afya yako njema, tuandikie kitabu wajukuu na wanao tuweze kujua hii tunu kubwa uliyopewa na mwenyezi Mungu ili nasi tusaidike, heri sana kwa siku yako ya kuzaliwa mzee wetu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2015

    Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema, na umri mrefu zaidi!!!Umesaidia wengi na kuinua hali ya maisha ya wengi. Nafsi nyingi za wengi zinakuombea na kukushukuru,hilo pekee ni baraka kubwa kwa Mwenyezi Mungu. Baraka za Mola ziwe nawe daima Mzee wetu mwenye hekima tele Mhe. Ali H. Mwinyi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2015

    hongera sana mzee wetu kwa siku yako ya kuzaliwa, Mwenyezi Mungu akizidishie miaka mingine 100, na nimekubali " Ya kale ni dhahabu", na mimi nimejipatia maneno mawili matatu muhimu kutoka kwa mzee wetu kuwa marafiki wa kweli ni wachache sana na wale unaoona ni wa karibu ndo hao hufurahia kuanguka kwako.. Shukran sana mzee Mwinyi..uongozi wako ndo nakumbuka ulikua wa neema kwangu mimi na familia yetu !!! Happy Birthday and enjoy your special day!!
    mdau wa Oxford, UK.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2015

    Nzuri..nimeipenda!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2015

    Happy Birthday mzee wa ruksa!Tunakutakia heri na baraka tele

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2015

    Nimeipenda hii interview sana. I still have a smile on my face. Many many happy returns to a very special, distinguished, and honorable man and leader. You were and are a leader. The ones today...I shake my head...they are not leaders. God bless you and your family Mzee Mwinyi. We all love you very much and thank you for everything you did for us for our own good and with the best of intentions. Bless you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...