Mbunge wa jimbo la Vunjo, Augustino Mrema akitetea uchukuliwaji wa kiwanja kilicho chukuliwa na wawekezaji badala ya kutumika kama ilivyopangwa na mmiriki wa kiwanja kilichopo katika kijiji cha Himo eneo la Mieresini,Jimboni Vunjo, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo na kulia ni Mkurugezi Msaidizi wa IDARA YA HABARI MAELEZO Tiganya Vincent.
Mwakilishi wa familia ya mzee Lekule, Denis Lekule akizungumza na wandishi wa habari hawapo pichani kuhusiana na jinsi walivyo chukuliwa eneo lao na wawekezaji, badala ya kuwa kama ilivyo pangwa na wazazi wao kuwa eneo la shule ya msingi na shule ya sekondari katika kijiji cha Himo eneo la Mieresini,Jimboni Vunjo, na kulia ni Mbunge wa jimbo la Vunjo, Augustino Mrema.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Vunjo Augustino Mrema leo jijini Dar es Salaam.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...