Uncle mimi Hobidan Ackim Mwaijulu wa Kunduchi Mtongani. Nimepotelew na wallet yangu usiku huu Tarehe 15/05/2015.Kwenye daladala Nikitokea Makumbusho kwenda Kunduchi Mtongani Majira ya saa mbili usiku. Wallet ilikuwa na kadi ?(4) nne za Bank mbili za exim bank,moja ya foreign currency na nyingine ya tshilings. 

Nyingine ni ya CRDB bank (master card). kadi nyingine ambayo ni muhimu sana ni Kadi ya Nje Bank ya HSBC pamoja na Token access yake ambayo ina muonekano wake ni mfano wa calculate ndogo. Pia kulikuwa na kitambulisho cha mpiga kura. 

Kadi nyingine ni ya Nssf na baadhi ya business cards. Pesa hazikuwemo kwenye wallet. Tafadhali uncle naomba uaambie kuwa kwa yeyote atakaye vipata au kuviokota kupeleka kituo chechote cha polisi au anaweza kuwasiliana nami kwa simu zifuatazo 0756 841417 na 0787455678. 

Asante sana uncle Michuzi pamoja na Grobuya Jamii kwa msaada wenu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2015

    Ni muhimu kuwajulisha benki zako mapema ili wa block transaction yoyote inayoweza fanywa na matapeli. Fikiria wewe kama mwananchi unahangaika namna hii, hawa wageni (tourist)wangepoteza kadi zao si ndio balaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...