Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi wa kijiji Chawavuvi Mta wa Chaurembo uliyopo Kurasini baada ya kutokea mwekezaji na kuwa na sinto fahamu ya muda mrefu na kupelekea wananchi kufanya maandamano ya amani hadi Ofisi za Serikali ya Mta huo na kumlazimu Mbunge kuingilia kati mgogoro huo Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akipitia moja ya mkataba waliyoandikiwa wananchi hao na mwekezaji ambayo wananchi hao hawajaridhishwa, Muhandisi Msaidizi wa Bandari na kiongozi wa kero za wananchi wa kijiji Chawavuvi Mta wa Chaurembo Kurasini David Mlassi akimweleza mambo fulani mbunge huyo (kushoto)
Wananchi wa kijiji cha Wavuvi wa Mta wa Chaurembo wakimsikiliza Mbunge huyo.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Ankali,
ReplyDeleteMta wa Chaurembo ndiyo nini sasa? naona ''Mta'' imeruiwa zaidi ya mara nne katika habari hii! Usahihi ni Mtaa wa Chaurembo.
Mdau
Lugha ya Kiswahili.
mh. Mbunge ukichomekea unapendeza sanaa na kuonekana smart. naomba uendelee hivyo hivyo maana yale mashati makubwa halafu huchomekei huwa unaonekana mkubwaaa . samahani lakini
ReplyDelete