Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Yombo Relini Yusufu Marko (kulia) akimwelekeza jambo wakati alipo fika katika maeneo hayo baada ya kuzunguuka maeneo tofauti na Mbunge Abbas Mtemvu.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Abdon Kidege, akimwelekeza jambo Mbunge wa Jimbo hilo Abbas Mtemvu wakati wa ziara ya kutembelea na kuwaona wananchi waliopatwa na mafuriko ya Mvua zinazo endelea kunyesha
Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi walio patwa na mafuriko maeneo ya Wailesi alipo watembelea
Magari yakipita kwa shida na eneo lililoharibiwa na mafuriko.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Magonjwa kukanyaga maji machafu hayo jamani. Poleni sana wana Dar
ReplyDelete