Kinga ni bora kuliko tiba. Lakini kwa mti huu ulio katika barabara ya Kijichi, Dar es Salaam, kama inavyoonekana katika picha mbalimbali, ni wazi kuna siku kitalia. Na inaelekea mamlaka zinazohusika ama zimepitiwa au zinachukulia poa tu. Picha zote na Nathan Mpangala.
Taswira hizi zinaonesha ni jinsi gani hatari hiyo ilivyo karibu na wananchi
Waendesha magari, bodaboda na waendao kwa miguu inawahusu hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2015

    Huu mti unatakiwa kukatwa, kama uko kwenye kiwanja cha mtu aambiwe aukate au kama ni eneo la akiba ya barabara basi wahusika kateni huo mti kabla ya hatari.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2015

    diwani wetu charle tunusuru

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...