MWANAMITINDO AFANYAYE KAZI ZAKE ZA UANAMITINDO ALOJIKITA MAREKANI FLAVIANA MATATA AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALI MBALI ZA KUONESHA MAVAZI JUKWAANI SAMBAMBA NA HIZI ZA MATANGAZO YA KIBIASHARA YA MATANGAZO YA MAVAZI NA SAFARI HII AMEFANYA NA KAMPUNI YA NEWYORK AND COMPANY KWA AJILI YA MAVAZI YA MAJIRA YA JOTO




Way to go girl!
ReplyDeleteHongera sana Flavi babe. Ankal mbona hua hua humrushi na yule miss tz wa zamani happiness magese? Nasikia BET wanampa tuzo kutokana na kazi zake nzuri
ReplyDelete