Home
Unlabelled
nani anasema TBC HAWAPO ONLINE?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TBC kuwa online ni jambo la faraja sana kwa sisi Watanzania ambao tunaishi nje ya Tanzania. Cha ajabu katika TBC hii ni kiwango cha chini cha usikivu wake na kukatika katika sauti. Kibaya zaidi ni pale inapokuwa inapiga miziki ya nje wakati wote. Mtu utategemea kupata habari za nyumbani na miziki yetu, hilo halipo katika TBC hii. Hakuna cha Taarifa ya Habari, wala kuunganishwa kama vile hotuba za viongozi au habari kutoka Bungeni. TBC hii ni vimiziki vya zamani kutoka nje. Heri wangetupigia miziki yetu ya zamani. Inaonyesha viongozi wake hawana habari kabisa na TBC Online. Wamewaachia vijana kufanya wapendavyo na si kwa ajili ya sisi Watanzania.
ReplyDelete-Mr Mhoja-Sweden