Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akitoa maelezo ya taarifa zake muhimu wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa Afisa Mwandikishaji Msaidizi Shaibu Chitala kwenye shule ya msingi Mbagala Majengo B,jimbo la Mtama mkoani Lindi.

Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitia saini wakati wa kukamilisha taratibu za kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ,Mtama mkoani Lindi.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha kadi yake mpya ya kupiga kura mara baada ya kumaliza kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura Majengo B, Mtama mkoani Lindi.
Picha na Adam Mzee.
Picha na Adam Mzee.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...