Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista Flosy Sequeire, Mkuu wa
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya
kutambua ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule hiyo wakati alipofungua
maadhimisho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Mei 11, 2015. Wemgne kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzi ya
Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Kassim Majaliwa, Mkuu wa
mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa na Mbunge wa Viti Maalum, Margareth Sitta.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana naWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
Mei 11, 2015 kwa ajili ya kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza
Mei 12, 2015. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi pikipiki Mratibu wa Elimu wa Kata
ya Ibiwhwa wilayani Bahi, Jacob Mwakalambo ikiwa ni chombo cha
kumwezesha kutekeleza majukumu yake katika maadhimisho ya wki ya elimu
wenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo, Kulia ni Naibu
waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Kassim Majaliwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...