Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali
Hassan Mwinyi akisoma hotuba yake kabla ya kufunga rasmi mkutano wa Wadau wa
Sekta ya ujenzi nchini uliondaliwa na Bodi ya Wakandarasi nchini CRB
ikishirikiana na Bodi ya Wahandisi ERB pamoja na Bodi ya AQRB.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli
akizungummza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Makandarasi (CRB) Eng.
Consolata Ngimbwa akimkabidi zawadi mgeni rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya
Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi kama ishara ya kutambua mchango wake katika
maendeleo ya sekta ya ujenzi nchini
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali
Hassan Mwinyi akimkabidhi cheti cha ushiriki kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi Eng. Musa Iyombe kabla ya kufunga mkutano huo.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali
Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara ya Ujenzi
Rais Mstaafu wa awamu
ya Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe
Magufuli pamoja na viongozi wengine akiangaalia moja ya vifaa vya ujenzi katika
maonesho ya wadau wa sekta ya ujenzi nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...