SAFARI: Wataalamu Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakielekea kukagua
mradi wa kilimo cha Karafuu wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi uliopo katika kijiji cha
Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la
Peramiho uliopo umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.
Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Habari wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha Karafuu cha kikundi cha ujasiriamali cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha huduma za Sheria Bi. Ester Riwa na kushoto ni Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Wataalamu Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa katika ukaguzi
wa mradi wa kilimo cha karafuu cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya
Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho umbali wa Kilometa
106 kutoka Ruvuma mjini.
Mradi wa kilimo cha karafuu wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi kilichopo katika kijiji
cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la
Peramiho. Picha na Benjamin Sawe
Ukijani wa mashamba unapendeza, lakini hilo daraja hapo juu linahitaji kuboreshwa zaidi.
ReplyDelete