Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
Raha ya ushindi. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. "HADHA MIN FADHLI RABBI" (Hizi ndizo Fadhila zake Mwenyeez Mungu). Kwa vile mmeshinda tu ndo mana umeionyesha, ingelikuwa kinyume na hapo mmhh! Hongereni by the way kwa ushindi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...