Mfuko wa Maendeleo ya jamii-TASAF kwa ushirikiano na wadau wa Maendeleo wameanza mkutano wiki mbili wa tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini -PSSN unaosimamiwa na mfuko huo.
Zifuatazo ni picha zikionyesha wadau hao wa maendeleo na watendaji wa TASAF wakiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga katika ukumbi wa mikutani wa Makao makuu ya mfuko huo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na taasisi zingine wakichangia mawazo kufuatia taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga.
Baadhi ya watendaji wa TASAF na wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na taasisi zingine wakisikiliza michango ya mawazo kutoka kwa washiriki kufuatia taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga.
Baadhi ya wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na taasisi zingine wakifuatilia kwa makini uchangiaji mawazo kufuatia taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga
Baadhi ya wadau wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia na taasisi zingine wakipitia taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...