Home
Unlabelled
TRADE MISSION TO THE US
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mashariki
ReplyDeleteNi wazo zuri sana , je mumejiandaa kivipi kuwa tofauti na trade mission zingine ambazo watu wametoka Tanzania wakitegemea kukuta wawekezaji wanawasubiri na badala yake hawakuonana na mtu yoyote. I support your ideas ni nzuri ila jipangeni sana. Munaweza kunipigia simu at 240 505 6159-ask for Mwaki. Nimekuwa sana katika hizi trade mission ili tufanye tofauti na mwanzo.
ReplyDeleteNdugu Anonymous wa pili hapo juu, mimi niko huku Marekani. Nami pia nina ushauri, na nina uzoefu wa kutoa ushauri kwa vikundi, vyuo, taasisi, makampuni hapa Marekani, kwa upande wa athari za tofauti za tamaduni katika dunia ya utandawazi wa leo.
ReplyDeleteNinapangia kushiriki mkutano huu, badli yeyote akitaka kuwasiliana nami, aniandikie ujumbe, africonexion@gmail.com, simu (507) 403 9756.