Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bw. Bahame Nyanduga akisisitiza
jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es
Salaam wakati akitoa taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Jesshi la Polisi
za kuwapiga na kuwazalilisha Viongozi na Wafuasi wa CUF huko Mtoni Mtongani
Temeke, Dar es saSalaam. Picha na Eliphace Marwa-MAELEZO
Home
Unlabelled
Tume ya haki za binadamu yatoa ripoti ya Mbagala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...