Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi ya jiji la Dar na sehemu zingine nyingi, baada ya mgomo wa mabasi unaoendelea hivi sasa kwa nchi nzima. hapo nauli ni kuanzia mia tano mpaka elfu moja.
 Huu ndio usafiri pendwa kwa kipindi hiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2015

    Haya mabo ya kupanda pick up mambo gani hizo ni za mizigo. Tatizo hili liwasaidie wataalamu wa jiji waanze kufikiria mpango mkakatii wa kuweka kuweka trams au treni zaidi au hata underground/metros siku za usoni ili mgomo kama huu ukitokea wananchi wawe na njia nyingine za usafiri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...