Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2015

    kama madereva ni hao ... ndio maana ajari haziishi...

    huyo anaye jiita "katibu" kashika kitambaa chenye rangi za bangi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2015

    Maoni ya mtu wa mwisho ktk video yanagusa baadhi ya vipengele vilivyomo ktk rasimu ya katiba ya jaji Warioba kuhusu utumishi wa umma, athari ndio hiyo mwananchi wa kawaida kabisa anaizungumzia jinsi inavyogusa umma, kwakweli inasikitisha sana......

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2015

    Muheshimiwa mkuu wa nchi ! Kwanini katika kipindi chako ndio kila jambo laajabu ajabu linatokea? Hawa madereva kipindi cha Mwinyi au Mkapa walikua hawana jeuli kiasihichi ! Tunajua umeisha anza kuaga tiali! Haya mambo ya madereva yasikuchafue ! Yatafutie ufumbuzi wa haraka

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2015

    Serikali ilitafutie ufumbuzi suala la madereva kwani linawagusa wananchi/wasafiri kwa ujumla.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...