Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.

Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada ya wafanyabiashara kuziba njia inayoruhusu magari kuingia na kutoka nje ya soko hilo, ambapo hata magari yanayochukua uchafu katika soko hilo yanashindwa kufika.kuchukua uchafu huo.
 Mlundikano wa Takataka katika Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam ambazo zimekuwa kero kwa wafanyabiashara wa eneo hilo.
Hili ni eneo la kuegesha magari lakini wafanyabiashara wamegeuza kuwa sehemu ya kuuzia bidhaa zao  eneo katika Soko la Mchikichini-Ilala  jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...