Msikilize Mrembo Wema Sepetu akijitetea baada ya kupigwa loba na 93.7 EFM. Bofya hako kamshare keupe hapo chini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. WILSON MARTINA GALASIANMay 15, 2015

    Wema wewe ni mzuri kumliko hata huyo mdada wanayekupambanisha nae kwa sasa, kubwa zaidi inabidi utulie kama wenzako, mbona wenzako ma miss wametulia na mambo yao yanaendelea vizuri wewe fanya mambo yako kimya kimya, kwani kufanikiwa mpaka usikike kila siku kwenye vyombo vya habari!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...